hii tabia ya washika kamera kuwaangazia mabinti wazuri tu inakera na inabagua sana yan kamera huwa znaangalia mw3anamke ,mzuri ndo znzmzoom ila kina mwajuma kimobitel hadi afanye kituko ndo utamuona
mfano nchi km nigeria iliyokuwa na uhaba wa mabinti wazuri ilikuwa inawarudia wale wale wawili kila siku
fifa tv wacheni ubabaishaji mulikeni wote
pia nichukue nafasi hii kuwapa pongezi mabinti mexico,ujeruman na korea ndio wazuri zaidi kwenye mashindano haya kuliko wengine wote
tuhitimeshe kwa kusema latin na south amerika ni hatari mkuu!..hawa caucasian wa europe na wenzao hawanishawishi…ila naona kitu nyeusi ndo kali ya wote