Early this year, we rounded up a cop after kuonekana kwa club na underage. The guy was ready to give us one of his kidneys tusimfikishe mbele but ole wake, alikuwa na tabia ya kuharass raia so no one in the arresting party was ready to listen to him. Saa hii ako remand kesi inaendelea. Hio mbwa itafungwa coz hata kazi iliisha.
Cops like harassing people until its their turn to be harrassed ndo wanajuanga kimeumana. At that point, no one cares if you are a bloody cop unabebwa juu juu na unapigwa kama punda.
Kuna karau alikuwa anapenda kuharass raia sana. Shida ni alikuwa pia anapenda chang’aa kupindukia. Sasa siku moja akiwa kwa chang’aa den vijana wakaamua kumfunza adabu. Walianza kumchokoza kidogo kidogo jamaa akaingia kwa mtego wao akaanza kuwauliza menacingly kama wanajua yeye ni nani to the point of threatening them with arrest. They continued goading him mpaka akaamua kuanza vita. Walimpiga kama burukenge na kumvunja mkono before disappearing never to be seen again. A few months later majamaa wakarudi na hakuna kitu walifanyiwa.
Nikiishi rongai last year kuna karau wa hapo police post wacha io station kubwa, mkisii mlevi alikuwa anahangaisha huko kware, alipigwa mavisu huko kware maChuom ya chang’aa akanyuria, tuliishia hapo legends tukaweka kilo ya mbuzi na mzinga.
A good cop is a dead cop