KMAD never disappoints. Wife Snatcher Edition

Orinda with his wife in happier days

[ATTACH=full]161228[/ATTACH]

Orinda today, some one took his wife…hahaha PS: Orinda is a police officer.
[ATTACH=full]161230[/ATTACH]

bibi akienda you accept and move on , hakuna haja ya vita

Kweli hapo brathe

Wapi io video ya coming soon

Iko Birnin Zana

mara si haba wahenga wamesisitiza kwamba kunguru hafugiki

But the wife looks like she’s having fun why can’t the nigga move on

Because they have a kid together. He is a family man.

:D:D:D:D
2016… HAHAHAHA…ati maisha ndio hio
[ATTACH=full]161243[/ATTACH]

hehehe so the wife will know she can transgress all she wants because her “family man” will fight for her? :D:D

Mr Orinda, pole lakini usikonde juu ya kunguru. The fact remains hawafugiki kamwe.

Mkambodia ataweza kustahimili mangumi za hiyo jaluo wakikutana by accident? Aki ya ng’oi!

Guys who advertise their wife’s on social media deserve what they get.

@pamba a.k.a wochman kuja ambia sisi kama orinda ni polisi ya ukweli[ATTACH=full]161247[/ATTACH][ATTACH=full]161247[/ATTACH]

Huyo Kyalo pia ni mchinga sana. Anajipiga picha na bibi ya wenyewe!

Kyalo anakaa anakula mzuri kuliko huyo mwenye kusliciwa kunguru but oh well!

Kyalo alisugua hiyo kitu proper…Orinda should eat his tomatoes in peace kazi yao ni kuteargas innocent protesters na kuwamaim…Kyalo kindly go to the kop wives of the killers of Baby Pendo, Baby Mutinda, and Evans Njoroge

Tulishakubali kunguru ni kunguru

[ATTACH=full]161255[/ATTACH]

ndio hawa kwa video wakichapa gumzo kwa pub. Huyo kunguru alishawekelewa mjulubeng kwa akili ona hizo macho na vile ako all over kyalo

He knows the husband is a SISSY COP