Wanderi ulitumaliza kisiasa wallai
sasa unataka tukusaidie aje, nugu wewe…
eeeeeh unatakaje … tukusaidie aje?! o.O
Watu wanalia most about demise of klist ndio wale ambao hawakuwa wanapost ama hat kucomment.
2 Likes
siku izi anaitwa wanderi-sigh mtu private investr
Hahaha, ebu muulize
Washana na Wanderi…Hapa umegonga ndipo. Karibu
Kweli alitumaliza, talk of being hit below the belt
SWARA