KITUNGUU INUKE

Nimeangukia contract ya kujenga nyumba ya gorofa tano na kazi ishaanza.There was a time nilikuwa nafanya mjengo so nimeona hii siwezi acha inipite tu hivyo.[ATTACH=full]125264[/ATTACH] [ATTACH=full]125266[/ATTACH]

51 Likes

Endelea kunukisha ndugu
wale vijana wa gaza hawawezi fanya hii kazi?

6 Likes

Kweli hii tu finje tunaokolea big time. Hiyo naona ikicollapse.

4 Likes

Safii boss… Ikifika kwa painting nishtue nilete a very good contractor nikule ka.commission pia.

5 Likes

Chunga Infinix NOTE 2 isianguke kwa matope.:):):):slight_smile:

4 Likes

Wiring niko ,certified .

5 Likes

Mpaka naimezea mate. I need a side project sai kenye nko nako ni kadogo. But kunayo nategea ya 6 storeys next year ivi but should you need to sublet some quantity lemmi know

4 Likes

Congrats bro

1 Like

inuke kunuka

2 Likes

all the best

2 Likes

watoe jasho wakanyage matope kama nani?

7 Likes

Nice.
35 1-br @10K=350k/month.

Whats the plot size, na itakula pesa ngapi kumalizika?

4 Likes

Hii ni project safi sana

1 Like

Congrats! Valisha hao majamaa helmet, NCA wako njiani…na usisahau kuweka signs, utawanukishia kitunguu pia

5 Likes

Hapo sasa. Jikaze kimwanaume.

Congratulations…following

1 Like

Ukijipanga vizuri unaweza jenga nyumba yako pia na hii pesa. Good luck.

6 Likes

huo ni wizi. good morning?

2 Likes

mchanga naweza leta boss

1 Like

Sorry mkubwa, I’m not saying he uses this project materials but from the income he will get from this job.

3 Likes