Kiswahili.

Kwa wataalam wa lugha:
Andika kwa Kiswahili : “IT’S NOT AN AEROPLANE, IT’S A BIRD.”[ATTACH=full]1071[/ATTACH]

Sio chombo cha usafiri kinachoitwa ndege, ni ndege yule kiumbe.

2 Likes

Siyo Ndege , NI BIRD

sio ndege ni nyoni

2 Likes

sio ndege ni nyuni

sio ndege za ki vita, ni ndege mwewe…

1 Like

Sio ndege…ni kindege…

si nyuni ni ndege/eropleni

1 Like