[B]Tuchukue hata ikiwa punje ya sekunde kumshukuru mola muumba wa vyote vilivyomo duniani na hata mbinguni kwa hino siku nyingine aliyotuwezesha kuiona.
Uzi huu wetu wa Leo utakuwa mgumu kiasi kwa wale walikuwa hawaenzi somo la isabati au hesabu wakati walimokuwa shuleni na vyuoni lakini ni vyema kujaribu kwa sababu mswahili alisema ‘kupotea njia ndiko kujua njia na usilolijua tu ni usiku wa giza!’
MSAMIATI WA LEO
AKISAMI
-Akisami ni nambari inayowakilisha sehemu fulani ya kitu kizima(fraction).Katika Akisami, ni lazima pawepo nambari ya juu na ya chini na huyenganishwa na kijistari cha alama ya mkwaju au mlazo(/).
Kwa mfano: 1/2 (one over two or half ) huitwa nusu.
Sasa adviser inakujia wapi kwenye mazungumzo ya wadau wa kiswahili? Wewe hujiita Mtanzania, ila huonekani kwenye mazungumzo ya kiswahili. Ni domo domo za siasa tu; ambazo pia huziezi…
[B]MAJIBU YA LEO
Akisami zifuatazo zaitwaje kwa kiswahili?
i) 1/3………theluthi au thuluthi: kongole @gashwin na @bababibitoto
ii) 1/4…robo: kongole twna @gashwin na @bababibitoto
iii) 1/5…humusi
iv) 1/6…sudusi
v) 1/7…subui
vi) 1/8…thumuni au thumni
vii) 1/9…tisau au tusui
viii) 1/10…ushuri[/B]
Hongera @bababibitoto kwa kuyapata maswali yote kwa usawa. Nilidhania yatakuwa kizungumkuti kwa wengi kumbe sivyo.Shukran kwa wote walioshiriki na hata @The_Virus nitakushughulikia pamoja na wapenzi wengine wa miziki ya lugha ya lingala.
[B]Msemo wa siku: Akumulikaye mchana, usiku atakuchoma!
Lokua Kanze did a good job in this song.He is a renown writer and singer. The lyrics are long but I will give you a summary of the whole thing and later post a translation of the song word for word.
Aaa ma ma ma maah,
Nakeyi kasi lobi nakozonga,
Lobi nakozonga,
Mobembo ezali nde liwate oooh,
Nakeyi kasi lobi nakozonga.
Bayamaah,
Mobembo ezali nde liwate oooh,
Blablablabla …to be continued. Nakozonga means ‘Nitarudi or I will return’.
In the song Lokua is telling his beloved that
’ Naondoka leo kwenda kutafuta maisha bora (kufanya kazi katika nchi nyingine majuu) lakini nitarudi. Ninasafiri,sijakufa. Siku za usoni nitarudi kwenye nchi yangu.Nchi nilizaliwa kwa sababu kuna kuumia kwingi kwenye hii nchi ya wenyewe…
Natumai uko sawa @The_Virus .