Kipigo cha 'MAKOFI' Kinaongeza idadi ya viziwi.

Ni ukweli usiopingika kwamba huku mtaani viziwi wengi wamefikwa na shida hii kutokana na kipigo.
Nimefanya uchunguzi kwa viziwi karibu yangu. Mmoja alisema “nimekuwa nikipigwa makofi na mke wa mjomba” wa pili alisema " imetokea kutosikia baada ya kupigwa makofi na polisi.
Jamii tunapeana ulemavu wa kudumu bila sababu za msingi! kama kuonya jiulize hajawahi fanya kosa na kuelekezwa au kusamehewa?

nimepigwa sana hayo makof nlivokuw kid hd unasikia sikio linalia ziiiiiii thnx God sikudhurika.

Makofi au kuishi eneo lenye kelele nyingi za mashine au mitambo…

Aisee! inatia huruma