Kipchoge finally pays tribute to Kiptum

Shida yake hua gani ?
Extremely poor PR all along

2 Likes

Kazi ya Kipchoge ni kusema ‘sport’ kila saa. :joy: He is a legend but ako na kiburi kiasi.

Pesa mingi imeharibu yeye

I think iyo kutokea number ten pia ilimshtua. Plus the cold reception he’s been getting

2 Likes

Sijui kwa nini naona huyu jama sio m-clean

1 Like

Ata mimi nlianza kumshuku after the death of Kiptum

1 Like