Kilaza wa Ikulu anaendelea kuivuruga nchi

“Kuna vilaza wanaajiriwa nawaona tu”- JPM

THURSDAY , 21ST JUN , 2018
NA MWANDISHI WETU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ameinyooshea kidole wizara ya kazi na ajira kuwa kuna watu wameajiriwa lakini wanafanya kazi chini ya kiwango jambo ambalo hapendezwi nalo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akisisitiza jambo
Rais ametoa kauli hiyo mapema leo wakati akipokea gawio la Serikali kutoka Shirika la Simu Tanzania (TTCL) , ambapo amesema kuwa suala hilo ameliona na amewaachia wabunge walitazame kwa mapana.
“Wizara ya Kazi kuna matatizo matatizo huko, nimeshayaona, nimeanza kuyafuatilia, kuna wengine vilaza kabisa lakini wanaletwa huko kuja kufanya kazi, hili nitalishughulikia, nalichomekea tu ili wabunge walitazame”, amesema Rais Magufuli.

Wizara hiyo ambayo iko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu) inaongozwa na Waziri Jenista Mhagama, pamoja na Naibu wake Anthony Mavunde.

1.5 trillions aliyokwapua toka hazina kala nyuti. Ufisadi wa bilioni 157 kala nyuti. Mkuu wa vilaza katika ubora wake wa kuivuruga nchi.

Anajifanya ana uchungu kweli na Nchi kumbe ni JIZI no 1…
1.5Tril ipo wapi ?
JIZI.

Kuna jitu litakuwa litaahira!! Sijui linampumbaza nani aisee??

Mnafiki sana huyu kubwa la majizi, fisadi na muuaji.

Wewe mkimbizi una taarifa kuwa trump kajitoa kwenye baraza la haki za binadamu ili akufurushe uko?

Unajuwa nini we Kenge? Rutashoboka AKA Rutakobekwa

Mshenzi tuu yule. Makonda wake yule sio kilaza? Pumbavu zakeeeee.

Mume wa Jokate

mnafiki kweli huyu, jenista ame dedicate nguvu zake zote kumtetea jiwe bungeni, kila mara unasikia “mwongozo mweshimiwa spika/mwenyekiti…” alafu leo jiwe anamtuhumu. Soon utasikia wizara imehamishiwa ofisi ya rais, waziri mkuu atabakia idle kama mama samia tu

Du kumbe anakobekwa ndiyo maana hana akili nzuri

Mwishowe kaamua kumrisha mwanae

Huyu mwizi mzoefu ,ilianzishwa alipopiga yale mabilioni wizara ya ujenzi akiwa waziri

mh!

Du!

Huna cha kuandika zaidi ya du! Mh! na aisee?

Ushamba si unajua tena nchi ya watu hii sijazoea mazingira

Huyu dikteta mshipa wa aibu hakupewa kabisa. Anaendelea kuinajisi Ikulu kwa kila namna ya uchafu.

White kapigwa chini?