Kihii orijino

Juzi nilikwa pipeline pale Embakasi tudeal twa bizna kiasi. Hapo stage nikapatana na Kari’s akijaza Embasavva.

Him: Niaje Captain. Asifo so grases adimista!!!.

Me n him tukabust kucheka kila msee akaona hawa wako keroro mbaya.
Mahigh five kisha nikamwachia za fegi.

Karis ni donda wale wakudadia. Kwanza huwa wanapiga mathree seti ikifika pale Tajmal…wanaenda tu wakiichapa bavu then wanashuka tena pale fedha ama stage mpya.

hapo ndio hata dere wa squadi hushuka kisha kina karis wanapewa zao za macho.

Sasa hii “Asifo so grases adimista” iliendanga hivi tukiwa primo.

Inde nemo di fatha. Adovisa. Adovi ori spiry. Aaaamee.

Awa fatha watileven.
Arobi theni,
Thekido ka.
Thewiro bidanona.
Asiti da nineve.
Givasawa deerebred.
Adivogivawa trepases.
Asifo so grases adimista.
Aderivas fo rivo eeeeemmme.

Thts how our assemblies opened in th morning… I was in class three.

Sasa huyu karis tulisoma nayeye primary huko shaggs. Hiyo maombi ndio alikuwa ananikumbusha…Yaani karis ni wale vijana kila tym hukuwa against the rules.

Kufika shule late
Kupiga kelele assembly
kuwekelea walimu na madame kioo chini
Kupiga watoi wengine
Kunyang’anya karamu na buks.
Kutusi walimu na hata kuhepa chuo.
Mention them all. Kari’s number one.

Come exam time paper zingine ata hakufanya. He was always last. If not last he was just next to the other last.

By the way KCPE alipata clean A. Out of 700 marks alipata zoote 95mrks. Alijaribu kweli. He was just Unteachable.

Sasa tuko pale Assembly maombi iko katikati karia ndio huyo amenikip busy kunifunza whistling. I admired his whistles. Yaani kuna vile alikuwa anawekanisha vidole zote kwa mikono. Kisha anatengeneza ngumi moja kubwa. Hizi vidole gumba zikiface Mbele anapanua kidogo. Then anablow thru the thumbs unaskia ni kama ambulance inapita. I loved that.

on this fateful day. karis alikuwa ananishow stylo ya kushika mdomo wa chini. Unatwist kidogo inakaa v-shape then unavuta hewa ndani thru the teeth. Whenever I tried nilikuwa tu natoa kasauti hissing kama ile kamnyambo silent ya sssssssss.

Suddenly…maombi ikiwa imefika pale kwa " Heromere matharovujisa…"

i whistled piiiiiiiiiiiiiiiiii.!!!

niliona saitan na masho(Karis). I think lucifer had sent him this day to use me.

Maombi ikasimama shule mzima. Teacher on duty alikuwa amesimama Mbele yetu on a raised ground. Wah. Ile silence ilikuwa katikati ya kedo 800 pupils ilikaa kama Pope anaongoza maombi Vatican.

we were all in Rome. at some point i wasnt breathing.

In our tyms teachers never bothered speaking too much English ama Swahili. Coming towards the source of this earcracking thunder was the one Mr. Kimani. We called him wakamani those days. "We kihii wiku. Ni ngai uratheka nake??(where are u uncircumcised boy. Are u jocking with God???)

Hii tym wale wooote walikuwa around me walitoka kando kando nikabaki katikati ya kirindi ya watoi wengine woote.

Wakamani akaniona. Imagine in a midst of over fifty pupils everyone looking at u with that Judas Iscariot face. aki hapo ningehepa singetomboa. In milliseconds nilisikia nimebebwa juu juu kama kuku zile unaonanga pale country bus. maboy wanne was class eight including headboy.

Wah…kufikishwa pale mbele assembly suruari ilikuwa chini. Hizo tym hatukuwa tunatambua uruaro. Nikainamishwa kichwa kikawekwa katikati ya miguu. Chesos. nikafinywa maskio.

Tumanyungurus tukabaki Nyuma facing all the pupils. This tym round kelele ya hao wengine plus kucheka iliskika umbali wa kedo 8kms.

One two three four…ten nineteen twenty twenty one. Kila mtoto akishout. Wah. Thanks kiboko ikavunjika nikaachiliwa Kwa miguu by this killer ticha. kidogo tu Nikaingilia katikati ya miguu yake nikatokea nyuma.

Singevumilia tena. Mimi huyooo…nikajaribu kuhepa. Suruali ikanitega. Hakukuwa na tym ya kuipandisha. The easiest way ilikuwa kuitoa yooote. Sema kumalysia katikati ya scouts na Mr kimani.

Nilijipata home like 5kms away from skool bila uruaru. Sasa nilikuwa nimeamua that was the end of me kwa hiyo shule. Kufika kwa keja napata mum akitoka aende job kitu saa mbili. Nilirudishwa shule na maslap hazikai.

kinyasa yangu tukaipata kwa gate ya shule iliwa na uchafu mbaya. niliivaa tu hivyo.

kufikishwa staffroom vita ilikuwa tyms two vile mathy aliambiwa wat i did.

I had to find a skuul of my own ili nipigwe transfer. I hated everyone in that compound. Starting from wakimani to all teachers then all pupils for laughing at me. then Kwa headmaster nikaandikiwa dose. 3 times 3. for two good weeks. asubuhi break ta saa tatu na fotefae. saa tano break ya pili na lunchtime.

After 2wks nilikuwa nimejitafutia shule ingine na hata hatukupewa leta ya transfer in my initial skuul.

I started a double school life. I was a pupil in all schools. Due to the same karis I cud attend both for a whole term na sikuwahi julikana…
…,…,…,….

My primary school double life coming soon.

sitalaumu wewe…evidence ii vaa

Wamesema hujamaliza hekaya moja na tayari ushaarukia ingine

Hehehehe kijana wachana na bhangi… Hiyo maombi imenimalisa

mistakes observed. thanks

that’s how it goes even now in some public schools where no one bothers.

nimechoka macho. @nairobilay leta eye drops priis.

:D:D:D:D:D

Hekaya zako ni moto sana!

kwani hekaya iko na teargas okwonkwo

asande

Hiyo maombi ni noma

Ni ori spiry. Ndo alikuwa ndani ya Karis;the A student. Like another twig chewing character who claims to have gotten something near an A…

Hehee hio maombi haikuwa inapita stratosphere

:D:D:D:D:D Lexicon hii! :D:D:D

Hekaya iko sawa.:smiley:

asanteni wenye kijiji. am humbled

:D:D:D:D:D Kari(s) Sana.

Hadi tumesahau kukupea kiti

tafadhali endelea kueneza habari. nimesimama sana

Hekaya iko on point, you have my like.

thank buddy