Kifungua kinyua Fit for a Truck Driver; Full English Breakfast.

Just enjoyed this a while ago at a motorway stop and its actually cheaper than cooking at home plus hakuna kuosha vyombo afterwards. Calorie count wachia madaktari.

[ATTACH=full]4450[/ATTACH]

1 Like

looks nice

1 Like

2014??? nway nice meal for a bachelor

Tuko 2015…good observation.

Next time ukiandika jina tafuta paper haijataruka. Ni hayo tu

are those fucking mushrooms???cant stand dem bitchez

1 Like

With such food ,i think kabuda is also a momo-man…nowander he luvs dem momos

2 Likes

Unaokota leftovers kwa garbage can then unakuja kuringa eti Full Egrish Breakfast :mad::mad:

1 Like

Hehe. Labda anaitwa Kinyua…

2 Likes

Kuna makende ya mbuzi hapo ama?

2 Likes

Ohhh memories! A full english breakfast!! I love the hush browns! Huku Kenya nimetafuta sipati!

1 Like

reo kuna momo atajuta:)

SIWES SHIBA HIYO BREAKFAST

2 Likes

hiyo container hapo juu inakaa ya valon
[ATTACH=full]4452[/ATTACH]

4 Likes

Hapo naona mushrooms? tamu sana

ni how much?

we gathee, githweri ni kiumu eeh. paper haijataruka ndio gani? andika kikwenyu tu hatutakosa interpreter

3 Likes

I am not a big fan of hash browns most of the time i leave them on the plate… Inabidi utafute recipe basi and start making them for the Kenyan market…now that is a business right there!

This is not a “hotel” by any description,just a halting site restaurant kando ya motorway and by the way,hiyo ni serviette ime-wrap uma na kisu for simplicity. Hapa there are just truck drivers stopping to have a quick bite, rest kiasi maybe even shower and safari iendelee.

Ningependa kumkosoa @introvert ,Kiswahili sahihi ni “kinyua” kutokana na jina la kutenda…“kunyua”. Nafikiri siku mwalimu wako wa Kiswahili alifundisha jina hili haukuwepo.