Kichaka ranch

I was just thinking to myself, now is the best time to go to kichaka chaka ranch, watu wamesota so hakujajaa watu, i think wamereduce bei by now.

Hehe enda alafu utuambie vile kuko

1 Like

uko sio kwa ma hustler kama wewe wanangoja bei zishuke.

People who go there dont feel the effects of January, na bei weekdays ndio huwa zime reduce

Nani amesema i feel the effects of January? i just like privacy, sipendi crowded places.