Kibe's S550....

So Andrew Kibe amekuwa akisifu hii Gari yake Mercedes Benz s550 Sanaa, today was promted to do a little bit of research on how much it could be going for, in Kenyan Market. Kumbe the thing ni expensive hivo, in Kenyan Market goes for 9million for a 2015 model

Doing Further research on Facebook, found out nigga purchased the car for 14 million!(must be latest model), enyewe hata ingekuwa Mimi pia naweza flaunt such Car, especially after kutoka kusota mbaya! Hii maisha mtu huishi once, na before uzoee pesa na pia ikuzoee, lazima tu upitie some Stages

In US there are a lot of supercars that starts at $100k. But then, tastes and preferences

He has just one. Real ballers buy a showroom

https://www.youtube.com/watch?v=Ps7LONVD6jA

Huko US market iko tofauti na market ya Kenya, huko watu hulease.
Mtu yeyote, ata mwenye anaosha choo, anaweza endesha gari yyote, kwa muda.

Na bado unapata nyangáu taking a 3-year lease on a Buick or Nissan, price deviation from better cars is not that big, say 15% at most.

Acha wivu

hehe nikapatana na hii video

https://www.youtube.com/watch?v=1rwhmSCPEnQ

Tungekuwa na dem kama huyu Kenya angenukisha kitunguu sana Youtube.

He is talking from a senior bachelor’s point of view. He can survive without a permanent residence for decades without worry. But a family man needs a cave or nest.

Umafwi thread

Wewe umenunua showroom? Bure kabisa just be happy for him

Ahame kwa mumama kwanza.

He is currently minting millions na hiyo channel yake…aMaximize kabisa while the sun still shines

Wewe ni kamati ya roho chafu

Hapana. Kibe ako sawa.

Huko kwao you can rent such cars per day… even supercars like Ferrari and Lamborghini’s can be rented. You don’t have to buy.

Eeh enyewe internet imejaa ignorant fellas

Pale us alichukuwa loan analipiya monthly car payments

Wee kamati ya roho chafu…unareopen thread kusema hivi?