Following up on @Jirani’s thread kuhusu hawa vijana wanasumbua watu mtaani.Mbona mtu akipigwa risasi ama kuwa kwa accident mostly kiatu moja utoka?is it due to the deadly impact.What’s the rationale behind this
http://www.kenyatalk.com/index.php?threads/mavijana-wadogo-barely-18-shot-dead-by-police-viewer-discretion.8445/
Weston I’m at Weston Hotel by the pool…kiatu moja imetoka…
2 Likes
Wa risasi ni juu ya kupigwa tero na polisi
ni makosa inatoka hapana kiatu:)
6 Likes
hehehehe
Buda don’t say jirani, say Hon.jirani. last warning
1 Like
niki-click kiatu chako kimoja kitatoka…be very worried…
1 Like
Mapepo.
Hehe horny jirani
1 Like
F= ma
kuna fala ilienda kuvuka baro apo university way venye aliona hawesmake akainama akashika viatu zote with all his strength. Luckily uyo dere aliwa rada akampita. asked why he did that akasema kiatu ikitoka your as good as dead
3 Likes
heck…sijaita mtu yeyote mtunzi…
Yenyewe hii ni hekaya
Kapsaaaaa!
Ukienda city morgue ndio utaona marehemu wa mikasa bila viatu.
Kiatu kivue. …