Khai kumbe Kihii Kiaganu unaguanga mromantic? Bed tyme stories with kihii kiaganu

Leo mgawaji WA slices anafika kwa mansion yangu.Nimekichocha ati nimekipikia pasta and mozzarella alafu tu watch movie na sleepover. Kikifika mansion are shangaa kuona rithegz na afocado salad. Kimepanda uber kikuje after kinipatie vitu nitakifukuza kiende kipande Mat za Mwiki hadi kwake.[ATTACH=full]90093[/ATTACH] [ATTACH=full]90094[/ATTACH]

2 Likes

hio meza umeekea sahani lako inaonyesha hali ya umaskini unayopitia…pole kwa mashaka unayopitia kihii

7 Likes

@kihii lazima wewe ni crossbreed ya laana na bahati mbaya…you got a boring life

4 Likes

Meffi kaoshe vyombo

ile kazi unafanyishanga io digestion system yako ni ngumu kuliko ya kupiga kokoto quarry ama ya beba marigiti

2 Likes

Umenikumbusha jamaa WA Klost alishinda kumeza toothpicks, kisha akaambiwa asiworry coz he already has enough furniture in his tummy, ameze sahani na vikombe awe self-contained.

9 Likes

Now this is savage:D:D

talkers wanaanika picha za pombe za maelfu ya pesa, nawe badala ya kuchunguza ujue ulipomkosea muumba wako akuondolee umaskini huu uko hapa ukianika chakula cha 20 bob? pure sadness

More green than yellow= progress. Buon appetito

The guy was eating squid the other day. His palate is diverse to include chicken food.

Vile unashinda ukiweka hizo picha za chakula kila siku, naona ni kama wewe ni WaSIZE=1[/SIZE]nyama tuuu. Najua unatoka hapo Khumusalaba. Uliza wazazi tu vizuri, though huko wesdern hatukuli kama ndege hivi.

1 Like

When I see a plate of food with no meat I remember the days when I was broke.
One day God will bless you too.

Uko sawa @kihii kunywa maji mob ndio floods isukume hizo kokoto down stream. Kuteseka ni kwa muda.

1 Like

Too much meat is unhealthy, learn to skip some days though I know its easier said than done. Mimi binafsi I do my best and avoid meat over lunch hour

Wakathambi

Hii jamaa…Kwani lazima akule chakula ya kuku ndio aanze kula kuku. So sad !

Shipoto