Kenyatalk iko death bed walahi

Arsenal vs city today has been like a final. Game kubwa sana lakini hakuna hiyo thread huku unlike kitambo. Luwere ktalk.

Thread iko

.. wewe wacha kutaja Arsenal fc. I’m trying to heal.

Wapi? Ile section ya kodivoa na wangapi ama

Leta hizo interesting threads mwenyewe.