Kenyans repatriated from iran

https://x.com/i/status/2035629878121238741

Hakuna kitu kama hiyo.

Sema kuna wakenya wamekuja kutoka Iran.

Sema labda wamelipiwa air tickets na government.

Lakini usiseme eti wamekuwa rescued. Serikali ya Kenya haina uwezo wa kurescue mtu yyote.

Askari wao alibebwa na sewage hapo Nairobi mvua ya last season, they couldn’t rescue him, watakuwaje na uwezo ya kurescue watu wako Iran?

Hii psychosocial support imeghula 1B