Kenyans in Kenya mnafaa jua pesa does nt grow in trees uku majuu!!

@Ka-Buda kuja hapa tusaidiane kwa hii mjadiliano. Ok wakenya hii manbo ya J si uniokolee manze january imekuja na design noma. Niskumue ata kama nika 20euro pale Money gram ama ohhh sina rent please assist me.

Ok ni hivi kuna Mwoman fulani my Ex aliniitisha pesa last year December. She is a singo mum. She had asked for around 7K sijui mashida gani ya mtoi ati mgonjwa…me out of huruma and bcoz nilikuwa nimeangukia ka bonus ya Dec nikamskumia 100euros(thats over 10K ksh)…kumbuka alikuwa anataka 7K. niggaz unajua what she told me after kutuma…a whatsapp msg with two letters which were —> TX. Manze imagine umeskumia mtu 10K and all she does is say TX…ata ile emoji ya kiss hawezi tuma jo. Anyway she went silent on me lakini i was watching her movements kwa umbali FB. Ni wale madem stupid who post pics akiwa hepi.

After sending the cash (twas on a Thursday), Friday naona kimtu ame andika kwa Wall yake ati “me & my Gffs are gonna spoil the weekend like never b4”…nikasema waaaaaaaa. Gani hizi!!. Kidogo naona picha akiwa na Gal friends zake wanaburudika…Sato the same thing. I just liked the pics ndio ajue niko radar…guess what the posts vanished after nime like…bt too late baby too late.

FFWD: alikuwa ameninyamazia all along bt jana na get whtsapp ati its how J, how is the NY? nikamjibu niko sawa. akasema Gr8 even me. Story ikaisha. Leo like 2hrs ago kimetuma kinanishow J am in a fix…woiye can u hook me up with 5K. Am short with my rent. I’ll refund xoxo. Nimemshow okota hio block meffi and blocked her. Nkt Mnafikiri apa pesa umea kwa mti…wacha nikapige shower…ninaenda kukunywa zile pesa ningemtumia na ni post FB ndio ashike moto

5 Likes

NA Sanchez jana alikutomba shot ngapi ? Si ungetumia homo @Web Dev hizo euro’s akutumie ma assfie uwank.

3 Likes

Si ungempa slap mbili moto ata kama ni via whatsapp

2 Likes

mbwa wewe…meffi
[ATTACH=full]28390[/ATTACH]

[ATTACH=full]28397[/ATTACH] [ATTACH=full]28398[/ATTACH] chokosh toa hizi picha za sistako apa meffi

HUYO dem wako Sanchez hufanyiwa manicure DANDORA phase gani

1 Like

Hizo kucha ni chafu alafu hiyo ni njoti ya ngamia mnakunywa ?

6 Likes

Dem ako na manicure ya panya

1 Like

Mboss…na kucha zako ji chafu?? Uko Dee ama Berlin?

4 Likes

Huyo manze anafikiria wewe ni Coca- cola.
Ana Ku- ENJOY… Kkkkkkkkkkkikikiiikkiiii…

Anyhow, always do what Mhengaress @Nefertities advised someone here;
Don`t Give a Hoe more money than you can afford to loose.

1 Like

toa uocha hio ni tei…ni huyo dem ame buy…mm ni mtu beer tu lakini dame ame insist nijaribu ako kadrink

HUYO boy hukulipa pesa ngapi akikutomba matako . Asking for @Web Dev

1 Like

Hahahaha. Napenda saaaana. Jay si uniletee grand daughter ya Hitler nikamue tafasare. Ntalipa in Yens

2 Likes

[ATTACH=full]28408[/ATTACH] Pia me Niko pande ya Chattanooga Tennessee (read kiambu)na weather iko below survival conditions.

5 Likes

Tafadhali keep that winter storm to yourselves. Naona news leo mtaona cha mtema kuni.
Just saw Obama aki-slide karibu aanguke kwa stairs za Air force one…
All the best mate! Hope you stocked up on food and booze.

1 Like

@uwesmake ni nene kunidrag kwa chokosh wars.?

UNCLE nunua Ile Johnny walker ya 100 k nitulie najua bitcoins zinakusumbua

Maboy white hawana noma wakikucheki na dame wao? Hawazushi?

Shawcross mwenye alivunja Ramsey ako kwa bar gani Leo?

1 Like

mwizi , Umeiba laptop ngapi Leo