Kenyans and Their Big Egos

Baba ya @Aba leo ameniamulia.

Jana mi niliamka poa nikaprepare kwenda job.
This man is around my late dad’s age. Asubuhi akaniomba chai. Nikamwambia nimechelewa na job sitampikia chai.

Sasa nilitoka job kurudi kwa nyumba akakuja kunirudishia my rent and ati am supposed to vacate leo.

Sijawahi kosana na yeye, na hatuna mazoeano na yeye .

He has gone to the extent ya kucall mwenye nyumba akimshow aty nihame

How do you people deal with this situations🤔

Huyu ataniona bado nampangia. Heshima imekufa

2 Likes

This reads like you are female sharing a house with your inlaw where you split the rent

You gotta be a mega peasanr

1 Like

Caretaker

3 Likes

Inakaa nyinyi mmeshare kikojozi na kikunyizi. Sasa mambo ya watu wamenyambiana hatuyaingilii kabisa, mtarudiana si kitambo

2 Likes

If you are a caretaker there, why in the hell would another man ask you to cook tea for him?

2 Likes

I don’t understand this post

2 Likes

Chukua rent back. Mwambie hujapata nyumba and in any case sasa unakalia deposit as you house hunt

HE’S THE CARETAKER

1 Like

Umemzoesha mkia Leo akapata uko na haraka na hakuna time ya romance.

Pole kaka, but until ujenge kwako na uwache ushoga everyone will be treating you like the bish you are.

1 Like

Inakuwaje mnazoeana namna hiyo na caretaker of all people? Ama labda kuna deal zingine mko nazo husemi?

2 Likes

Hatujazoeana na hii ghasia. Naenda tribunal monday na recording ya vitisho zake. Am About to get six months rent free in this crib

1 Like

You better do it