KenyaGen ni ghost town

So after all the fuss about KenyaGen, I finally decided to pay the site a visit. I even registered. The only problem is that I was the only one online (1 user, 0 guests)… wakati at that exact time KTalk kuna 33 members, 25 guests and 7 robots… Mmmh…

1 Like

Now you can understand why @uwesmake and @Wakanyama are still around despite zile vitisho vyao baridi, forever a Ktalker

1 Like

hahaha 1 user ni wewe…

hata admin yuko area amehepa kwake

word

mimi niko huko

Lets say you only go there to sleep but unapatikana huku all day long

how about ilovekenya…?

HATA MIMI NIKO HUKO NI VILE NANGOJA MKOKOTENI IKUJE KUBEBA SUFURIA NA JIKO YANGU,

REMEMBER THE JOURNEY OF A THOUDAND MILES STARTS WITH ONE STEP, @ol monk HII KIJIJI UTABAKI NAYO PEKEE YAKO UKIVUTA KIRAIKO NA UKIKUNYWA KAROBO NNNNNKKKT

1 Like

Hehe chunga usipatikane hapa. Btw naskia hiyo KG yenyu ilibebwa na maji ya mvua juzi

1 Like

one robot ni nini?

Tried to register huko nikashindwa after klost went down,hujuma in caps,also tried ilovekenya chida tupu and to seek therapy till i stumbled on ktalk kwa Facebook ,hapa niko home.

i also tried ilovekenya ikawa ati ooh atleast one cap, ukiweka hiyo ooh at least one numerical na saa hiyo hata password bado…nikasema washana nao, washiensi!

Heri ikuwa ghost town kuliko kuwa littered na mahekaya hivi hivi. Anyway in the meantime…

http://i.imgur.com/mG6CSzd.jpg

1 Like

Guys lets make ktalk have more members ,have already introduced some friends to this site lakini handle yangu ni siri yangu

Ma feelings peleka burundi ama north Korea.

4 Likes

HII VILLAGE YA HEKAYA IKUFE

hehe uko @Village elder ndo anapost kila kitu…nikama vile ukiwa mtoi ulikuwa unaweka posters kwa walls za room yako ujibambe

6 Likes

Hehehe ana post na ana comment with his other duplicate handles, Sema kujiongelesha.

1 Like

amejikalisha apo sjui ni nailab ama ihub anajibamba tu…nikama kuact movie alafu wewe ndo cast yote…kama zile za madea.,na bado wewe ndo unaziwatch tu

2 Likes