Just visited this neighbouring village, and its so quiet for my liking @Village elder kwani wana hio kijiji wamenda kuwatch ndondi mapema aje?
[ATTACH=full]4678[/ATTACH]
Just visited this neighbouring village, and its so quiet for my liking @Village elder kwani wana hio kijiji wamenda kuwatch ndondi mapema aje?
[ATTACH=full]4678[/ATTACH]
Sasa unataka tufanye aje?
Wataka tusaidie vipi mkuu?..Sisi hatuna nambari za simu zao wala barua pepe⦠hatuwezi wasihi warejee gumzo.
site sio mbaya lakini Ktalk isha shika moto
Ktalk Damu
wanakijiji wa huko wamelala mapema ndio waamke saa kumi kutazama ndondi
Kijiji hakijengwi kwa siku moja. Kijiji hakijengwi na mtu mmoja. Watu walisign up kisha ndivyo baas. Ila tunawapa tu mda, wakiwa na cha kuposti inshallah wataposti. Hataa hivo kazi bado inaendelea
Kwa hao wawili wakona maswali za upus hapo ju mchidwe. @Village elder big up for the response I just paid a visit and found no one home. Anyways all the best
:D:D
BADO HAIJASHIKA MOTO. NGOJA TUMALIZE KUJENGA CHOO HALAFU SASA KITCHEN TUWASHE MOTO.
Hapo sawa mbuda nko rada