KENYA NEW DRIVING LICENCE

Kakitabu kata tupwa mbali , hii ina toshea kwa wallet vizuri… Sasa gava iangalie venye tutaanza kutia card moja i.e ID, NHIF, NSSF & DL
[ATTACH=full]111451[/ATTACH] [ATTACH=full]111452[/ATTACH]

long overdue

ugly as fuck… why do we do things like we are trying??Bure kabisa.

perfect

Now your DUI’s and traffic misdemeanors will be easily tracked. :smiley:

Hehehee
Ni karusa mbaya lakini heri hako kuliko encyclopedia ya mkoloni, hopefully designers watakubaliwa kurekebisha kiasi…

Kwani haitakuwa na details printed on it? Ama hio ni sample tu?

How are you expected to hand over that 50 bob?

Smart card

SGR pia tuliambiwa ni sura mbaya. Wakenya toshekeni. Kwani card zinashindana Beauty pageant kwa wallet?

Its a sample.

good question :D:D

@pamba njoo

Enyewe inakaa kitu ya kubahatisha, seriously I can do better within 30 min kwa illustrator, Bure Kabisa

Ama Corel Draw, ama Inkscape

Wenye hawataki hii basi wajitengenezee yao.

Tutumie sample yako, a picture is worth more than a thousand words

@Bantu Ndio watumie yangu na wasinilipe, Ukikubali kunipea 200Kcr naeza fanya provided members ndio watavote if its better than that shitty sample

Trying to please everyone is a perfect recipe for failure!
Tafakari hayo.

Weka watermark

Hata hii design inakaa kuangushwa for lack of public participation.