Hii Florida imekuwa Kenyan kamili. This lady must be a Kenyan. It appears labda Kenyan immigrants wame-export tabia za Kenyan IEBC huko Florida?
Republican candidate anaenda kulala kama ameongoza na kura 400K.
Kesho yake kuamka, kura zinaanza kuchipuka miraculously. Hapa kunatokea kura elfu kumi, elfu arobaini pale, elfu sitini huko, etc. All these miraculous votes appear to favour only one candidate; Democratic. Wizi.
Hazijulikani zimetoka wapi, na zilikuwa wapi 48 hours baada ya vituo vya kura kufungwa. Nasikia pia huko, watu waliosajiliwa wakati wa Harry Truman bado wako hai na wanapiga kura kwa wingi. Hawajawahi kutolewa kwa voters register.