Kenya government broke

Now i believe the gava is broke,i am a civil sufferer and salo ya july bado ya august inasemekana itachelewa,remittances za loan ,insurance and others bado hazitimizwa so in short the Kenyan gov is broke,sijui landlord wangu ntamhepa aje hii mwezi ,on that note mtu ana kajob naweza chapa come through for a villager,watoto wasipate kwashiorkor.

Tulisa meffi na hii
https://www.jamiiforums.com/attachments/fb_img_15350053713235253-jpg.844562/

CS Rotich already told us GoK is broke before changing tune methinks after being reprimanded for telling the truth. We are broke broke beyond broke.

Kama kawaida salo ya July/August huchelewa kiasi…

All governments(expect oil rich Arabs/ countries with “sovereign funds” ) in the world are always broke/bankrupt. It was set up by design to put - the rest of us - into a perpetual cycle of debt. From cradle to grave!! Wake up.

Unafanya county?

Na si mtatumaliza kwa kuitisha hongo?

Kwani you live from hand to mouth. Kama yako ni 30k salo ni urudi kwa bedshitter si kuenda kutafuta three bedroom.

Pedalling lies and fear !

Siku ya Eid juzi niliona wakishika mpaka hawa jamaa hutembeza viatu kwa estate nikajua kweli kumekauka.

Niaje kasee wa umoja

Niko ngangari.

kula ujeuri wako. kazi ni kuhung koti kwa kiti na kupiga maraundi…

:D:D:D:D:D:Dna kuambia secretary aambie wateja ako “within”

Maybe you are from a county whose MCA’s have taken all the money for a bonding retreat in the Bahamas

Gava ikisota, even all our bones will be dust. Approximately the year 3518.

Actually no government can go broke never ever… They have the option of printing money… Yes the worst move, but hakuna gava itakuja matumbo kama huyu jamaa anadai job hapa… Ati! Oh! watu wajalipa tax!
Kama hawaja lipwa kuna bigfish amedunga hio doo ipate interest mahali.

Kwani haujasomba za corruption…nyinyi ata mkikosa mshahara haina noma…hakuna kitu nyinyi hufanya.Mtu akikuja kutafuta usaidizi kwa ofisi za GoK anazungushwa ati file haipatikani…lakini wanakwambia ukitoa kitu mtu atavaa apron akaitafute poa kwa registry…meffi nyinyi…

County governments kadhaa zishalipa, including ours. Hio yenu mulipatia mtu ya fake ‘Punjab’ papers kura. Fanyeni harambee mlipe local radio stations pesa ya kutangaza hamjalipwa. Trust me, within a few days utarudi equilibrium

Most counties delayed salo coz of budget issues lakini that was sorted by midmonth so usitense next week utalipwa double salo