KDF

12 th February Friday.

               KDF!!!!

A Very Young fine Lady Approach me at my Job Place requesting to board a Boda Boda. On our way to the respectively destination a conversation start and the Lady Request me to Teach her How to drive a Duthi. Ju hii January haitaki mchezo nikaona hii ni business opportunity. Tukakubaliana mbei na by 2 pm tulikua kwa uwanja for training sessions.

The girl ni wale wakujiamini, huyu ata anaweza endesa ndege akipewa chance. First step nikumuonyesa kila kitu na matumizi yake. kuanzia clutch brake Fuel pedal to Horn. Now it’s time to drive. Yeye mbere na Mimi nyuma yake. makende ikiwa kwa matako, hahaha team mafisi @Meria Mata like this. Nikagurumisa Nduthi and help her to Start driving mos mos. Good thing is that she new how to balance. So with some few Round the girl was good to go. She’s a quick Learner.

 Just when we were busy on the Road Driving slowly, A police Land Clucer appear to us and request us to stop. The girl was the driver and me behind her. She didn't stop so the police push us a side karibu tuanguke. We stop and the girl Told me, 'do not worry I gut ur back'. But me knowing how the police are uwoga Lazima ingenichapa. But the girl was very much brave.

Hawaogopi anawaongelesa vile anataka. Thy ask us whether we have the permission to do what we were doing. Because I was the guy with a reflector So the bike belong to me. Nikanza kujitetea. uuuuui Ju ya msupa kuwarudisia vibaya Nikapiwa pingu. wakachukua Nduthi wakaiweka kwa gari plus me hadi kwa K Police station. When I was living the Girl told me Not to worries She will come for me. Wacha wakubebe watajua Mimi ni nani!!!!

 Woooi Brothers & Sisters hapo nikajua nimelala Ndani na January. Mimi kwisha. Kwa station Walikua wananikemea na kunifoki wakiniambia Kwani si umuite akuje akutoe!!! Senzi yeye!!! anafikilia yeye ni nani? Utakufia kwa njera!!!! Mjinga!!! 

Woi 8:30pm 9:00 pm hakuna any sign ya yeye kujitokeza. sasa nikaona hapa nisipo njua njia ya kujitoa kesho itakua noma. Nikapigia Wife nikamshow akam na 6k kwa station tuone kama nitatoka. By 9:30 pm I was free after kuwapea 5k. Just when I was @ OB reception waiting for my One Shoe ki Lory cha Njeshi kikaingia kwa Their Parand Ground. with Wanajeshi full of Uniform na all military items. Mabuduki zile zakuogofia. wengine wamejifunga badana mavin... 

  Three KDF came out and walk to the Reception where I was. without hesitate one Ask (sijui ka alikua ana  ask ama ni request ama ni command) kwa sauti ya Juu. Wapi mwenye alisika Huyu!!!

karao akahestate akagonga meza na nguvu!! Baaaaanggggg!!! Hio sauti nikaskia niya mwanamke na inakaa familiar. Kumbe ni yule msupa nilikua nafunza Nduthi. Ngai!!! Mwathani!!! kumbe Alikua KDF.

karao alitokwa na kajasho kebaba. Akatetemeka akasema mwenye alikua amenisika hayuko karibu. Mi na kiherehere yangu nikasema alikua hapa na amenitisa 5k ndio nitoke. we! we! we! Ndame akasikwa na wazimu. Akasema I want to See your OCs!! Now!!! Teketeke akapigiwa simu. Sasa nikatoka hapo inje tukanza Ku nego na msupa. Hao ma KDF wengine wakasuka kwa Lory. Sasa walikua wamejaa kwa hio compound yao wakiladalada na mabuduki. Mimi nilikua natetemeka na at the same point Happy.

Within 15 minutes OCs akakam. Sema kusomewa. Eti yani Tunaweza kuwa Tunawarida ndio nyinyi mpate time ya kusubua Raiya!!!?? What kind of Nonsense is This??? Wapi mwenye alikua amemshika huyu kijana???
OCs, kijana mgani?
msupa, Haujui ama unanipima akili???
OCs, kijana ulisikwa na nani?
mi: Mimi simjui niwahuku kwenu.

  Saio Makarao wa hiyo station walikua wametoka inje wote na mabuduki mpaka wengine hawakua na uniforms. Msupa akamshow OCs aondoe hao Watoi wake hapo hataki kuwaona. OCs akawaamulisa waondoke wamuache pekee. Walinego na After kusomewa Akatoa 5k nikapewa. It didn't end there akambiwa ju ni usiku siwezi endesa Nduthi kuna upepo Wachukue Nduthi waiweke kwa Gari Waipeleke Hadi Stage. 

Msupa akapada kwa hiyo gari iko na nduthi, mi na wife tukaingia kwa Lory ya Jeshi hadi stage. Nduthi ikatolewa na nikambiwa mbere yao Wakinisubua tena nimwabie. Wote wakaodoka mi na wife tuka home full of Joy.

The Following day ndio nilikubuka ata sina Number ya huyo msupa. wacha ata number ata Jina sikujua anaitwaji. Sikujua anafanya kazi wapi. Am hoping she will come again and I will ask her all the questions.

Niko Gatundu Hospital donating Blood To a sick patient

Hehe…iko sawa but…uongo tupu

Hii ni ndoto ama? Umefikaje Gatundu tena?

:)Uniform moja sio ile nyingine…

Amka ukojoe urudi usingizi tena uendeleze kuota

Amka kijana wacha kuota

"muchatha’ clone ?

kazi yetu kama special forces ilikuwa kudeal na rogue kdfs kama hao

Boss kuna chida, mingi sana!

When I was writing I was in matatu heading to District.

Mbona nafeel hii hekaya inakaa kuwa uongo sana

chida gani?

Ya matamuchi

Ni nduthi ulipenda…

Muchatha wa Kamau, tupigie story ya Kahehia kama Kure krost.

Cheki maneno pale Saigon…

Musito maya ni maheni lakini kula like

Huyu amenichangamsha na hiyo Riverwood tales yake.

@Muchatha usibabaishwe na wakaguaji wa hekaya. Hata za Abunuwasi zilikuwa nusu mtungo.

He he he! A marinated tale!