[ATTACH=full]113107[/ATTACH]
@D_Minor aliuliza hii swali asubuhi na hamtaki kujibu, sasa nitapeana KCr50 for the first one with the correct answer.
Question 1- kwa truck dashboard hii taa ikiwaka inamaanisha nini?
easy pickings today.
Kwani wewe ndie Kcr Manager? Uko nazo mingi sana…
Kichwa ya truck imelegea
Kicha ya truck haiko locked.
Lock ya cabin ijafungwa au iko loose
Kichwa inawachana na follower yake
Oh, nimesahau kujibu. Inamaanisha truck inachomeka, Utoke mbio
Hydraulic system ya kuinua hiyo dumper huko nyuma iko Na sida.
Ni tipper na mboro imestedi kiasi.
Cheza chini bro, am the only ES around this streets.
Ebu nitupie Kcr kadhaa… ni aibu sana Elder mzima kutembea bila kitu kwa wallet.
pole VE, kua ukitegea KCr quiz kila siku ujishindie kakitu.
gari imepata head-on collision!!!
:D:D:D
Sawa munene… lakini hata kuku hurushiwa mahindi
Cab tilt lock open
which is which my fren?
ya kwanza ikiwa wrong, then the second one. Double chances my fren
Kwa hiyo gari kuna more than one import ndani ya kichwa
Asanteni sana kwa kushiriki kwa kwizi ya leo
@Eng’iti amewai hizo KCr, i suspect yeye ni makanga wa FH
Please confirm receipt of your KCr.
kesho tegeeni swali ngumu ambalo ata gugu hana answer.