[ATTACH=full]178588[/ATTACH]
Waanze na shirika la Ndege linaloongoza kwa hasara kila mwaka kisha wafuatie na TANESCO bila kusahau TBC
Najiuliza kwenye kampeni 2020 ataongea nini kwa watanzania?
Nasubiri kusikia gawio la Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) ATCL pamoja na TANESCO kwa serikali
We are on ze light track
Hebu walitoe huko!
Angejua analolifanya angejua kuwa “we are on the right track but headed on the wrong direction”
Hmm!..
Aanze na TTCL
Nilijua ataropoka tu! ATCL isipotoa gawio awe wa kwanza kujiuzulu!
Ha ha ha ha ha ha kicheko cha housekeeper of Kawangware
Hivi unadhani katika future plan yake ana mpango wa kufanya kampeni mtu huyu??
Yeye anaamini kwa kuwa yeye ni Commander in Chief, ataagiza vikosi vyake vya usalama vikisaidiana na Tume yake ya uchaguzi vimtangaze yeye kuwa mshindi, whether kura zimetosha au hazijatosha!
Tumeshindwa kumtoa tunaomba aondoke kwa uwezo wa Mungu Mwenyezi.
Yatizo huyu Magufuli ni mbaguzi wa hali ya juu, ukiona ametoa taarifa hiyo ujue yapo mashirika ambayo ameya-target
Yale mashirika pendwa hatataka yaguswe, na licha ya kutoleta gawio kwa serikali, mashirika hayo “yanainyonya” serikali kwa kupewa gawio!
Mashirika hayo “kipenzi” cha baba ni pamoja na ATCL, TANESCO na Shirika la kutangaza propaganda za CCM, TBC
Hayo mashirika kamwe hayawezi kuguswa
haya hayaaa
tutapata tabu sana …
Mmmh
Ttcl Sindo wamempa hiyo 1.5B sijui
magufuri kuna kipindi hadi anakera kwa jinsi anavyoropoka utumbo, hivi kwa akili za kawaida tu msajili wa hazina anaweza kulifuta shirika kama TANESCO??? yaani aamke asubuhi atangaze “kuanzia leo TANESCO imefutwa, wafanyakazi wote mmepunguzwa kazi rudini nyumbani”???
L
Labda