kayole stage

Kuna venye manze nilikuwa natoka na ivo stage ya D. Gari ilituachia njiani ufala nikapitia hizo buildings zinakuanga nyuma ya stage ya Kayole fuck iyo place imejaa mabeast ufala. Wamenipiga mapingu zingine manze wakaanza kudai ati nilikuwa ninasolicit for sex. Wamenimanga 2500/- manze inaniuma sana. Na vile nilikuwa niharibu juu ni Easter. Walinipora wakapata doo kwa mfuko ya jale iyo story inaniuma sana. Na iyo place nimecheki ina kunguru wamechrome na hata sikuwa na akili ya kukamuana. Imebaki nimedandia mat nikaenda home. Wameniudhi sana. Huko nimesema sitai pitia kabisa.

Alafu wamekam mos mos tu mmoja akanishika jale nikasikia nimepigwa pingu “we nyang’au mrefu unaona we ni mjanja sana leo utajua hujui”. Ni bahati hawakunichuna tenje. @pamba we ni mmoja wao lakini hao mabeast wamefanya nilale mtaa na sikuwa nataka. Lakini ni sawa tu izo ndo vitu hufanya unalearn juu ya life. NKT!!!

Nairobi Diaries mnalipangwa 2500 Mustafa?

Pole manze… Ata mimi jana usiku nilichelewa ball usiku kitu 11 hivi. Nafika tu gate this probox pulls up next to me. Ilikuwa na Polisi some Somali walikuwa wanachana miraa vibaya sana. Moja akaniita nikuje. Upuzi akuna venye naendea probox imejaa wanaume willingly at 11pm. Moja wao akniuliza kisomali natoka wapi nikamshow ball pointing to my gear akasema poa na wakaenda. Wajinga sana Mbwa wao. Sikuwa na doh wangenishika ilikuwa nalala ndani.

Hawa nakuambia wamenipiga pingu wakadai “kijana wewe story yako ni hadi Tuesday juu Monday ni holiday”. Wamepata 2500 kwa mfuko wakanifungua pingu nikaskia kijana enda na usiangalie nyuma. Kuna kauchungu kwa roho lakini ni sawa tu.

Ngombe!! Walikuwacha na bado unabweka hapa? Si wangekuweka bling ndio ukuwe hii kelele yako iko valid, wariahe, mbaff:D

Pole kijana mrefu. When such things happen to me, I try to think positively. Pengine ungeenda kulewa kutokee kisanga ujipate mtaa bila meno wacha pesa.
Juzi nilikua nimeamua kukamua kunguru ingine nilipoenda kutoa pesa hapo tearoom, kadi ikamezwa. Nilisikia kauchungu lakini nikasema pengine nimeepuka kisonono.
So cheer up, watch a movie.

Tallmnyama ulikuwa umeenda kusolicit sema ukweli

Shukuru mungu kaka umeponea. Hata mimi nimepoanea mara mbili hii wiki, ya kwanza kuenda kununua tv kumbe ni ya uwizi, halafu mtu amethreaten kunireport kwa boss leo nikajua ni nani bt nitamlipa aache ufala. Mimi naona nikama nitaanza maisha mpya this is a sign

Sema Jew bonoko, nyinyi mna celebrate easter?

:D:D Manze walinishtua sana. Felt like would be a victim of a drive by shooting alafu waniwekele bonoko. Mbwa wao.

You haven’t truly lived in Nairobi kama hujawai wekwa pingu ya bure

Police are pseudo thives

:D:D:D:D pole lakini

pale bus station niliwai shikwa mara mbili
nilikuwa na stay kiambu 100

sasa nilikuwa natakaa kuspend 50bob kwa fair to kiambu
kulikuwa na matt zile zimechapa zilikuwa uko chini Bus station zilikuwa zinalipisha 50bob
sasa mimi nimekuja bila kusumbua napataa vijana kama kumi wamepigwa pingu wamekalishwa chini, nikaona apa sitaweza kupiga Uturn nikapita nikaskia kijana kuja apa unajifanya Kauzi sio
nikajibu apana mkubwa…nani unaita mkubwa…mimi unadhani ni brother
nikapigwa pingu, nikajaribu kujitetea nimetoka job mafala hawaskii

watu waka-anza kuhongana wanawachiliwa sparta nilikuwa na soo mbili na 30bob soo mbili ilikuwa imeshikana apo ndio blunder
nikasema kimoyo hii sipeani walai, nikakuwa relaxed kabisa kuende vile kutaenda ilikuwa around 9.30pm waliniwachilia karibu 11pm
nilijitetea 30 bob ni fair mafala wakachukuwa wakaniwachilia:confused:

kutembea hadi uko chini exit ya BS ndio niende stage sparta simamishwa na makarao wengine pigwa pingu
nikajitetea nimetoka kwa wale police saa hii:confused: tukapanda na wao hadi pale wengine walikuwa ndio uyo jamaa alichukuwa 30bob akadai hii jamaa mrefu ata haina pesa wachana na yeye

nilifika stage nikapanda matt nimeboeka sana

kutoka iyo siku nilikuwa nachukuwa mini buss no.9 inaniweka supermambo nalipa 20bob
then nachukuwa matt zile vijana huita boko nalipa 70bob
afadhali uko hakukuwa na makarao Bus station kumejaa wezi na karao bully hii kenya yetu aki

The last time karau walinipora 1k, I pleaded with them like my life depended on it. i told them niko na mgonjwa nyumbani hana dawa, sijalipa rent, sijakula the whole day, I called them bros…etc, eventually, wakanirudishia 500 change nakunifukuza.

No wonder they’re killed lik rats in northeastern

kuna mzito pale vigilance house aliniambia in a day two policemen die

Its possible if u take into account illness, accidents, suicide etc

Hako ka area ka BS ukiteremka OTC huwa wanasumbua sana.

Ile maneno kina @pamba wamenifanyia nikiwa youtman mungu anawaona tu. One time nimetoka kusafisha rungu classified location down town 2300hrs hapo… nikavuka io latema road nikalaliwa kama public enemy number 1…na Bling nikaekwa. Tulipiga patrol na hawa majamaa for like an hr nikijitetea juu nilijua ile baridi iko cendro sigwes vumilia. Henway walikula mia tano na iko mwenye alikuwa anakula mogoka aliniwekelea bare karibu niblack out. Pesa hata haikuniuma…kuna vile tulipitia nao io pande ya Uptown msee na umefungwa pingu wewe ndio uko mbele…jamaa wanakuangalia na design.Nilikuwa madre but I felt Humiliated