Kayole bus to busia made Profit 74,900

67pax

1k each. 67K
Return 700 each 46900
Income 113,900

Fuel 24k return
Service 10k
Crew food and accomodation 5k
Expense 39k

1 Like

Hii ndio trending story hapo calabash leo sindio ..?

8 Likes

Figsed

Hizo basi weekdays huwa zinalalisha 6k. Na mwenyewe aliishika 700k akaifunga engine na ukarabati kiasi tu. Kuna day nilipata msee ana ni connect na kimoja cha NYS nika ringa.

3 Likes

Sasa ungekuwa sonko vibaya sana hata hungepata time ya kuingia ktalk

5 Likes

Hehe… wacha nione next year kama ntafika level yenu

1 Like

Hii basi inakunywa kama my personal car?
Unatubeba wana aje?

1 Like

Return ili upate mtu anakubali kupanda hii kitu kutoka busia mpaka nairobi utangoja three days. Ule aliingia siku ya kwanza atakuwa alishaenda kitambo, so toa hio hesabu. Buses are flying back to nairobi from all directions zikiwa almost empty.

4 Likes

Nunua bus 100 kama hizo utengeneze 7.5million per day. Mbwa wewe.

4 Likes

watu wa Return hakuna , so iyo maths yote ni jaba.

2 Likes

Huwa hazikunywi sana

Hujahesabu HONGO along the way. Ksh 5,000

1 Like

Drivers and makanga salary ( per day)?

Lazima utukanane ndiyo ujiskie mwanaume? Ngui.