Kauli Tata utekaji wa MO

hivi mirembe hospital ina VIP
1;kamanda siro"gari lililomteka ni la nje ya nchi,tumeshajua mmiliki tumeshirikiana na interpol"
2;kamanda siro"waliomteka wana uchu wa madaraka"
3;kamanda mambo sasa"wazungu wawili ndio waliomteka MO Dewji"
4;MO Dewji “walioniteka walificha sura zao sikuwea kuwaona”
Zitto"the united Repulcan of Gangsters"
hasa kauli ya 2;tumeambiwa waliomteka MO walikuwa wazungu wawili,tumeambiwa na kamanda siro kuwa wanauchu wa madaraka,kumbe kuna raia wa kigeni wanauchu wa madaraka ya Tanzani,sasa Dewji ndo angewapa hayo madaraka?,kwa maana hiyo mtu ukiwa na uchu wa madaraka inakubidi uende kumteka mfanya biashara mkubwa?

Hahahaha The United Republic of Gangsters!

Time will tell… naked truth will be out…

Cc: @Mahondaw