Karibuni Futari...

Ahlan Bekum.

[ATTACH=full]7757[/ATTACH]

2 Likes

im loving the site of those sambusas n chapatis

@mayekeke si ya next sunday unipe invite?

@mayekeke nipe invite ya ile ya kufunga ramadhan, nitakuja tu na mayonnaise na peri peri sauce

1 Like

Si unitafutie bibi anaweza pika hivyo, ata kama ni kiatu ntaoa.

4 Likes

I wonder how this is related to worship

We give thanks to the creator for providing an abundance of rizk. Many that couldn’t afford such also partook in our feast today.

mbona unalenga hilo swali langu?

Why oily or sugary stuff? I expected to see some nduma, mukimo etc

Constipation bila chuki. Utaona @mayekeke ametokea kwa 1000 ways to die

3 Likes

Monkey huoni tangerines and mangoes kwa hiyo mbicha?

Inakaa tamu sana Ustadh…

@mayekeke That’s meal for one person in Mumias. Just watch how @Mundu Mulosi muslim cousin broke the fast on Saturday evening[ATTACH=full]7786[/ATTACH]

3 Likes

Na aliclaim ati amelala njaa.