Karibuni Chit-Chat...

Tayari moja ya jukwaa pendwa JF Chit Chat liko kwa hewa.

Tuzingatie yale tuliyokuwa nayo kule JF Original.

Ukiona kitu ndivyo sivyo bofya “Report”.Kama una lolote tuwasiliane.

The Tweet
JF Moderator.

wanakuja

Shukrani mkuu, endelea kuweka majukwaa mengine pia kama JF Doctor, Jukwaa la Elimu, n.k

Sawa,nitajitahidi.

Poa mkuu

Asante sana Moderator

Karibu ukimbizini Mzigua90

Asante dear. Acha tujishikize huku kwa muda tukiwa tunaelekea Misri.

Hawa jamaa wakamatie hii fursa, wajitahidi kufanya marekebisho ya kufa mtu ili tusirudi tena kule kwa Sizonje.

Ni wakati sasa JF Owners waungane na hawa wa-Kenya kutengeneza kitu kikubwa zaidi, kama vipi wahamie Kenya kabisa.

Ni kweli wanatakiwa waiboreshe zaidi ili hata kama ile ya kwetu itarudi pawepo na ushindani mkubwa

Raha ya ugenini upate mwenyeji mwema

Kama wewe hivyo.

Yaah, kukiwa na ushindani itakuwa powa sana, hata kile kiburi cha mods kupiga watu ban bila kueleza sababu kitaisha.

:p:p:p:p:p:p:p

Kweli kabisa mkuu

Ahsante pia bibie.

Mkuu tunaomba kama itakupendezeni Jamii-Forums iwekwe kwenye Address Bar ili kupunguza adha za kutafuta.

[ATTACH=full]175623[/ATTACH]

mambo ni motrooooooooo…karibun wapendwa;):wink:

Ukiungua mimi simo