I’m doing keto. Really curbs cravings.
1 Like
Hio mafuta si ni mingi sana kamware..
Very minimal coconut oil n spices. Kuna yam, pumpkin,egg plant, cabbage, carrot, fonio, kingfish.
Reminds me of this song
1 Like
Capote hio si mashakura? Si ukamate tu tilapia, mboga ya kienyeji na ugali size yake uone miujiza ikifanyika. Alafu unakula supper sahizi.. mimi nina kulanga supper saa nane usiku. Lazima uko mashambani
6 Likes
It confirms your a bitter obese old post wall woman
2 Likes
Chakula Na muziki ya watu wajinga hawana akili.
Ugali is a big no on keto dear.
1 Like
Una tumbo tatu?
Keto na naona rice, sausage and some slimy shit?
1 Like

