Karibu niende

Hii ni ile Somali ya kushindwa kufungua gate?
Weka mawe kwa mfuko.

Mzae, chunga usikuwe momo.

:D:D:D:D:D:Di am working on it very seriously and expect tocut five in next 30 days

Wife akiamua kukuchapa mkiwa kwa nyumba si utakipata.

Aiii zii Kimakia is loaded weight wise.Last month ndio alirudi kwa weight ya 2 digits na atawachia 75…

:D:D

So you’re a fat slob who wears used underwear.
Umbwa ii.

Kichwa meremeta wewe…nikikukalia huwezi jitoa hapo…cheza na mimi

Maziwa nakunywa…natembea na Dairy milk shakes like a kid:confused:

hehehehe:D:D:D:D

kama kuna vile unaweza pata maziwa ile fresh mzito ya ngombe (not packet milk) kunywa lita tatu au nne kwa siku utaona vile uta nona.

:D:D:D

:D:D:D:D:Dwueeh!

Sisi tutajaribu ku loose weight nawewe unabebwa na ndege.Jaribu 1/2kg to 1kg ya nyama na tusker kila siku.

penda sana,ukinisumbua, nakutafuta langata nichape wewe,mimi iko kilo 130

sweetie niaje?

Leta hekaya complete

Unabomoa

Huyu ango nikama ameumwa na ile shepart yake.Anachokoza watu left right and centre