@kanyoka reloaded

Was just wondering where ule mujamaa wa Congo mining field aliendaga. I used to enjoy zile episode zake za Rwanda na kadharika. I came across one of his mining monsters and I just have to share this.

[ATTACH=full]9791[/ATTACH]

hiyo tire ni mangapi?

hii kilori kinataka kidereva kinono kama wewe

2 Likes

Hahaha don’t forget hata @Ka-Buda ni munono

1 Like

Guess bei yake inaweza buy probox moja

Hiyo LandCruiser inaweza pandiliwa kama mawe na hiyo monster.

tyres zake ikispoil kunawatu wa kuitengeneza… na its made in orders

unasema nini?

I think he was exposed in Klist then vanished after that

1 Like

Nauliza leo saa sita na mkwaju niaje ulienda under? Nilikuwa ngangare langata na Gaza squad kayole nzima. . Mtu ulitia maji nini.

ako katanga provence saa hii
gojea apate dollars utamuona hapa

ile komba mwiko uliachilia ama ulipikia watu samosa nayo?

sio komba mwiko, ilikua mburukenge

Hiyo tyre inaweza unda akala pair ngapi?

[ATTACH=full]9804[/ATTACH]

hesabu wewe ndiye mkamba

1 Like

I remember him posting a photo of a range rover ingine manual ya eight speed pale choma zone ati a friend gave it to him over the weekend apepee nayo.

2 Likes

Aki hiyo lizard siwezi karibia

Unaamka mapema hivyo unaenda wapi na ni Sunday Purity

Morning,I slept early so was up by 5:00 couldnt sleep