Kanairo.

Decided to cut short my trip and these are a few snapshots of Kanairo that I took. Osha mecho.

[ATTACH=full]401214[/ATTACH][ATTACH=full]401215[/ATTACH][ATTACH=full]401216[/ATTACH][ATTACH=full]401217[/ATTACH][ATTACH=full]401218[/ATTACH][ATTACH=full]401219[/ATTACH]

Niaje Gio

Ungeenda na hio ghaseer @patco umfunze kazi ya kuuza kinyambis huko omurica

Niaje @kanguthu nilitahiri mara ya pili,sina ujinga sasa…we can be good friends who wish each other well.during this festive season

@patco amepotelea Seattle man. Maybe alichomeka akiflip burgers Wendy’s. Hajakuwa online of late.

Sema

watu kuita Nairobi , KANAIRO hunikatsia sana . i find it plain stupid and childish . ni kama wale wasee wanaongeza nga in every word after terence creative show . kina @MBOMB

Kubali wewe ni kamzee huku kanairo

I hate the NGA iteration too. Sorry for the inconvenience mkubwa:D

Safiri salama

Ziko wapi za NYC @Aka mpole

I left Dubai 4 hours ago. Would update you in 10 hours time.

Kijana … hii ni kama kutuambia tuoshe mecho na mpisha ya bibi ama regular girlfriend. Kitu tunaona na kula daily… ungeleta za NYC. Bloody burukenge