Kanairo

[ATTACH=full]361898[/ATTACH]

What are the names these 330 billionaires? I see them mentioned everywhere but hakuna Kenyan Forbes list plus the industries they work in.

Number 174 is @Mimi Huwa Namwaga Ndanii

Do we have Talkers wenye wako kwa hio list?

Niliwaambia if you are not in Kanairo, you are out of the action. Fanya biashara anywhere but living outside Kanairo is economic suicide.

Hata ukijua utafanya nini na hauna capital?? James Mwangi and Gideon Muriuki are certainly there and they are large shareholders in banks. Uko na pesa ya kuanza bank??

Ati niliskia inakuaga 100Birrion ama ni ngapi??

s

Should be 'live outside Kanairo but doing business outside Kanairo is economic suicide.'Was in Naks last week following up on some phone device sales.Maze the busiest dealers wa tecno cannot meet targets unless they send sales guys to sell phones in kanairo ki sniper.

Kumbe dimongo yako can think productively

The rest of the 228?

Wako…

Umesahau Peter munga… giving billions to konyagi for campaign

Yes, sir!

!

Tafuta 20M fungua forex bureau anza hapo. Halafu @Mimi Huwa Namwaga Ndanii and his Kilimani thugs akuje akuoshe kama 5M ya character development.

Do business EVERYWHERE…but living in Kanairo is super-necessary. Sijawahi ona mtu amerudi ocha akaomokea huko. Certainly kuna watu wamerudi ocha na wakaomoka, but mimi sijawahi ona. Hata many guvnas huishi Nairobi despite working in the counties. Kenya is a small country. Their primary residence ni Kanairo and their families wako huku tuu.

Wewe unajua mapping/ kenya mpya anaishi mashinani? Ama yeye ni small player ?

20M ni kidogo sana… Hio biz basi naweza anza next year… Talkers wakuwe clients wa kwanza

Kama una 20M za kuwekelea kwa biashara anza hapo. Though siku hizi clients send money via Western Union straight to my Mpesa.

Next year sitakuwa nimekosa ka20M naweza risk… Wacha nijipange

Si umesema ni kidogo. Hekaya za next year tena :smiley: