Kama unahitaji laini ya wakala kwa jina lako basi usisite kunitafuta.

Napatikana Ubungo Dar es Salaam.
Njoo ujipatie laini ya wakala(Airtelmoney) kwa jina lako.
Malipo ni baada ya kupata laini.
Nitafute kwa namba 0655744410/0755744410
Note:Laini unapata baada ya siku mbili tu.

Je unafata procedures zote mkuu ama ni shortcut? maana naskia inabidi kuwa na TIN no na Leseni ya biashara, Pia hayo malipo baada ya kupata line ni sh ngapi?

Wewe ni kampuni iliye ingia ubia na kampuni za simu?

Shortcut.
Tsh120,000

Ndio

Okay…