Kakamega airstrip unatoka kwa ndege unangojwa na nduthi.

[ATTACH=full]489333[/ATTACH]

Wapi mtu amegongwa na nduthi akitoka kwa ndege[ATTACH=full]489339[/ATTACH]

soma vizuri acha kiherehere

Kusoma nmesoma vizuri tena sana…:smiley:
lakini hapo pa “unangojwa” ndio nmesoma “unagongwa”. Pole mkuu sijavalia glasses:D

Very convenient

Can’t be me. Nikitoka kwa ndege naingia kwa gari

Ive seen abit of travel vlogs yt, guys disembark planes and catch rickshaws, tuks tuks and yes, even nduthis.

Its no biggie, but its good info all the same.

Hehehehe same wozzap.

Shida iko Wapi???

@mkenya001 hunanga akili. You’re one of those people who believe airplanes are “class” and look down on anything else.

You probably also grew up poor.

Did you know in some developed countries people cycle to work? Wewe huwezi endesha baiskeli because you think it’s a lowlife activity.

Jinga sana

kama wewe unaona iko sawa mimi ni nani nipinge maoni yako. Kwangu it is not a common to see esp security wise

Others just walk. Shida iko wapi?

The era when flying was reserved for the super rich is long gone. In some regions its cheaper to fly rather taking s train or bus.
Low cost airlines are making profits while the traditional ones are losing money. Because they target the common guy who is concerned on moving from point A to B. Hana haja na mambo mengi kama the food being served or the Seat being very comfortable.
And if there is a boda boda waiting akishuka thats Even better.

Or unapatana na uvundo wa mavi ukimeet @poyoloko and his butt driller @uwesmake wakitoka muliro gardens kuchokorana meffi

Middle class arrogance mentality.
Birrionaires will have their itinerary handled by either their staff or outsourced. Utapata A car with a chauffeur will be waiting at the airport parking.
Middle class wakifanya hivo budget inaisha kabla watoke airport.

akirudi analetwa na vumbi na matope achafue viti za ndege

Hehehehe hapo umenena mkuu.

That’s a realistic people. No overcharged cabs.

Sasa bado mama wa miwa, sukari nguru, soda scons/mandazi, mukombera ku set up hapo kwa nduthi…na ka chicken base.

Unadondoka ndege kama unajishikia miwa ya 50 na unaweka kuku yako kwa box ya biscuits ama kwa armpit na unaenda home bila wasi wasi…kama unajua ku ride nduthi hata una ambia boda awache umbebe.