Kadinali Pengo awaasa maaskofu kujiepusha na ukabila.

Tangu lini pengo akawa na maneno ya busara?

Ye ni Askofu wa Jimbo la Dar.Na Cardinal sio Lazima atoke jimbo la Dar hata wa Tabora anaweza kuwa Cardinal.Au panaweza Pasiwepo kabisa Kadinali Rais wa TEC anatosha

Hmm!..

ruwaich kiboko ya wanafki

Ni vizuri baba askofu sasa apumzike, tunamshukuru kwa muda wake wa kulitumikia kanisa.

Hapa alikuwa anamwelekezea nani haya maneno yake mkuu?

MSIMBAZI CENTRE DAR Oyeeeeeeeeeeeee…!!!

Mkuu nenda Msimbazi centre ukajionee yanayojiri, pale ni kwa KANDA…kila mtu na Masister wake na pesa zao…!!!