Kach Coomer wapi???

Watuunguyaz!! Wale wamezunguka Kenya leteni usaidizi. Huku Kakamega coomer safi inapatikana wapi??

[ATTACH=full]71314[/ATTACH]
Inapatikana pare noggle MEFFI

31 Likes

Ketti pale ----------------------> Meffi ya kuku wewe

1 Like

Watu wa Katch hatupendi kusumbuliwa. GTFO.
[ATTACH=full]71315[/ATTACH]

23 Likes

sawa keti hapa utahudumiwa in a short while.

[ATTACH=full]71318[/ATTACH]

11 Likes

:D:D:D

hapo muliro katens umekosa?

4 Likes

Kuja pole pole Sana gashui . Niliona umenipiga vita asubuhi asubuhi kwa saga ya afya containers … tusianzane hapa:D kakamega

2 Likes

Hapo lasima apateko hiyo kitu inafananeko na imondo

2 Likes

Kwa mkebe ya OMO.

ukweli usemwe…

Wewe wacha…we have to politicize to be relevant

There is something creepy with this kasungura…I don’t like it honestly

2 Likes

i won’t say anything:D:D:D:D:D:D:D:D

No seriously I have goose bumps when I see this devil /sungura do that thing over and over and over . Won’t like my kids to ever come across it . It looks devilish even the smile is creepier than wakanyama’s face . I hate mascots honestly

2 Likes

Tafuta msee wa boda akupeleke Voi Guest house. Since ni mchana uliza watchman ako Kwa mlango akushow ile room utaenda.Majioni utawapata hapo nje wamejianika.

Wasee, kama hamjui, mtu husema ‘sijui’. Si kuanza kupost picha irrelevant. Theuri wa kigogoine ni mtu wa maana. Simple answer to a simple question. Kituuuu!!

:D:D:D:D:D

Hamuonyeshi NV huruma.

tangu lini?

Hii ya leo ni brutal zaidi.