KAA XXXX Series Ilikawia Sana. Kenyans' Purchasing Power Imeimprove Sana

KAA new series was launched around 1989 and it lasted for a long time. Ni kama those days only rich people afforded cars na cars from Dubai were not available.

Saa Hii tuko KBL almost going over to KBM. Kenyans wananunua magari kama njugu.

Haija improve. Ni population imekuwa kubwa. Io series ya KAA watu walinunua magari kwa show room zero mileage.

KBL si ni ya 2009?
shash ya leo imekurudisha back in time?

tuko KD

If we were to talk zero mileage, tungekuwa KAX saa hii.

2011

Public transport was organised and functional then.

My bad. Ni fatigue naona kama D na B zinafanana. KD_ ni kama itaisha early next year at this pace

blame it on suzuki altos demios and vitzs

Kitambo a series would last a while year

Muzee. Eti KAA? alafu latest yako ni KBL?
Parkinsons and age induced dementia has no effective treatment.

Anything with less than 3000 cc shouldn’t have a license plate number ,hio wangekua wanatumia ID ya mwenye gari as a plate number.

Watu wa vitz na Demio ndio wanakimbiza hizi numbers. Plus that time when nduthi/tractor/tuktuk zilipewa number kama za gari.

Kuliko hii ujinga ya KDD 786D walete hiyo numerals iende to 9999. Kitu kama KDD 9999Y

Tunaingia KDM soon, nishaanza kuona L inakimbia tayari

KRA fckd up when they initially registered boda bodas similarly as cars which made series run out faster

Usikimbize gari number plate. You will waste your life and money. Number plates can indicate age of the car, but say very little about it.

And so what? Kenyans importing more cars is significant in what sense?