JUST LEARNT WANDERI IS DEAD

Yani baba wa Kijiji yetu hiyo ingine asha pass and with him the last of KLIST.

Yani hakuna hopes tena kabisaa… Hii village nilikuwa mpita njia nikingoja home kurepairiwe but seems now i will have to settle here.

RIP Jimmy.

Aiii,haya maneno natuyaache…Kwani whea have u been ??

I said this yesterday in my thread about restoring Klist in honour of wanderi , many are not aware wanderi is dead

1 Like

Kenyanlist is dead. Ashana naye

I wouldnt go back.

nimekutii bro :smiley: