Just curious

Hizi prime properties zinakam up in middle class neighborhoods payment model huwa gani? Wakisema asking price is 36M does it mean you pay 36M cash ama ni mortgage? Alafu kuna watu hulipia hizi properties na cash?

unataka kujua ndio nini sasa…

wewe mwenyewe una fuliza limit ya 512

We niambie bana wacha hizo. By the way I’m a freelance research analyst hehe

:smiley:

Yaani adi unajua limits za fuliza?

Don’t buy in middle income area, work hard hadi place yyote wewe unahamia inakua middle income area. Brokers na watu wa sales wakuwe wanasema, " ii ni prime area, ata nanii aiaishi hapa."