Jukwaa la Wakubwa

Ila walikuwa hawakutendei haki. Maana kuwepo mtu jukwaa la dini haihusiani na wewe kubanwa kuingia la wakubwa maana yawezekana mtu ukawa na nia ya kujifunza yote

@The Tweet aiseeh!! tupo wengi tunataka ingia huko chumbani ila mlango umefungwa.

Labda anakula bata maana ni w’end sasa tumsikilizie kwanza

Likiwepo hilo jukwaa hapa KT itakua balaa maana Wakenya haya majukwaa ya hadharani wanamwaga radhi sasa huko kwa Wakubwa sijui itakuaje!

Wakei ni shida sana, ile video ya porn ya mtoto wa rais wa Congo Brazzaville waliimwaga haradhani hapa hapa!

Nahisi baso ipo hadharani hadi leo

Wee waonaje mkuu, uhuru wa namna hiyo ni mzuri au ni mbaya?

Ndiyo na hapana

Ukiwa na maana kuna mazuri yake na mabaya yake?

Naam

Optical Nutrition

kumbeee

Kama wewe ni dem nioshe macho kule inbox tafadhali

Sijui chochote mkuu

Aroo