@The Tweet niliomba hilo jukwaa muda tu lakini mbona kama umenisahau?
Honestly, napenda sana kupika nilikua n moja ya jukwaa langu kule home the great thinkers bas naomba nikidhiwe kiu yangu pengine kuna mtu naye anahitaj jukwaa hili pia anaona shida kujieleza
Kwa heshima na taadhima ninaomba jukwaa la maakuli la kupika pika kama ile jf chef
Ahsante n matumaini yangu ombi langu litafanyiwa kazi
Nilikwambia siku moja unipikie magimbi ya nazi sijui kama uliweza loh.
Yaani likitajwa jukwaa la mapishi namkumbuka ukhty @Farkina
Mtume ya raabb, hee wapi huko??
Hahaha mbona umestuka hivyo?Kesi za jf hizi,unabambikiwa bila ushahidi
Nikikukumbusha utakumbuka kweli?
Mwenzio kadai kesi za jf unaweza bambikiwa bila ushahidi kwahyo ushahidi kutoka jf sina kwa kuwa haipo hewani.
Hata hivo sikumbuku hiyo case ako
Na kupika unaweza au umeishia kupenda.?