[ATTACH=full]12929[/ATTACH] [ATTACH=full]12929[/ATTACH]
Ktalk si walevi, ulevi huwafuata.
Guys let your focal point be the license not the black staff behind the rod bars…
Nini unajaribu kusema, inakaa leo ndio umeonja baileys mara ya kwanza.
wawawawa leave alone the baileys…umeona sura ya bar maid…nika horror…hawa ni wale ukuwekea mchele when u are drunk
ktalk FBI about to investigate to which bar that permit number is issued to and then find your azz!!!
That barmaid has made many onions cry.
Siwes mind. Maji chafu huzima moto pia
Weka picha ya quail, huwes kunywa hizo zote hata kama umelipwa mapema.
[ATTACH=full]12934[/ATTACH]
[ATTACH=full]12936[/ATTACH]
APPLICANT/BUSINESS COMMERCIAL NAME KUNDA IIRI
BID 1306888
APPROVAL STATUS APPROVED
BUSINESS ACTIVITY SMALL BAR
STREET KARANDINI
PAID FEE 10,000.00
YEAR 2014
RECEIPT NUMBER 0016562014041448
ISSUE DATE 2014-04-11T10:45:10.687
Ambia Hao walipe ya hi mwaka ama kulifungwa
Huko ni wapi bwana fbi
[ATTACH=full]12938[/ATTACH]
kuna mchoro huyo barmaid anachora chunga… i know that expression from somewhere na mtu alilia
Karandini is at Dagoretti Corner.
Hahaha… Hata mimi hio expression sipendi. Malice
Kusema ukweli sikuwa nimeona BARMAID
Hehehe unapoesha gilbeys na Smirnoff black ice mjamaa. Wewe ndio moto wa kuotea mbali I say.
sikio la kufa…
Hizo remote zote za nini baba?
Is that a man or a woman?