@kingolonde
Cheki hii tractor
[ATTACH=full]84390[/ATTACH]
Ukiona tractor ya container mbele yako Ogopa sana
2 Likes
Kuna siku mmoja karibu itumwage kibarani tukiwa ndani ya matatu. That day sinners and the saved all talked in tongues!
6 Likes
shiaat
[ATTACH=full]84406[/ATTACH]
5 Likes
Hawa watu wa tractor huwa nuksi sana.
Wueh
:D:D:D:D
Huyo ni trainee na kimbelembele, watu wa tractor wakiwa na cargo huinstall sixth sense