Mahitaji
Maharage nusu
Chumvi
Nazi moja
Unga wa ngani
Kitunguu maji
Binzar ya unga
Namna ya kupika
Chemsha maharage had yaive pls note yasiive yakailinika yaive na ugum kidogo
Kuna nazi yako
Katia kitunguu maji kidogo kwneye maharage ulochemsha
Chuja naz tui bubu kivyake na lile la maji chujia kwneye hayo maharage acha yachemke had yakaukie kua makini uisunguze
Hakikisha umeweka chumvi kiaa epua
Chukua sufuria ulochujia tui bubu mikina binzar na unga wa ngano kidogo na chumv pamoja na kitunguu kilichobakia
Chemsha jikon hd vichemke
Epua baada ya kupoa kamimine juu ya maharage ulochemsha tayar kwa kuliwa na maandaz chapati mkate wa kumimina
Picha ni muhimu ktk mapishi…
[ATTACH=full]180382[/ATTACH]
[CENTER]
nilisahau kuaattach[/CENTER]
Hakuna shida…problem solved…
kwanin yanaitwa maharage ya kukata?
Upakuaji wake hayo vile unapakua unakata kasehem kwa kutimia upawa then unayachanganya hilo tui la juu lijichanganye na maharage huchot tu kama yale mengine
Hajar
July 4, 2018, 6:29am
10
Mambo ya kwetu Tanga hayo.
Natumai wamekuelewa mwaya sababu hayo maharage yakipikwa ipasavyo na yapate Chapati na chai ya maziwa pembeni basi kujulamba muhimu.
@A.G . jirani ushawahi kula haya Maharage ya kukata sababu Mombasa yapo pia na huwa wanapika sana tu.
system
July 4, 2018, 7:55am
11
Hajar:

mamii bado sijala lakini upande wa Chapati mimi ni addict…huwezi nitosheleza. Nije Tanga lini uniandilie pamoja na hayo maziwa yako pembeni :D:p
Hajar
July 4, 2018, 8:05am
12
Ewaaaaaaa. Siko huko now ila bado asili yangu ninayo eti. [emoji85] [emoji85] .
Jipange ukipata ile pesa ambayo ulipanga ukiipata uje TZ kisha nishitua tujue namna ya weye kufika aiseee. Hahahaaa. Lol.
Hivyo wapenda Chapati sana eee. Sijui unakula ngapi sababu huku kwetu Tz imezoweleka kuliwa chapati mbili basi yaani wanaozidi hapo ni wachache mnooo.
system
July 4, 2018, 8:12am
13

Huku chapati inaliwa na kila kitu …maziwa, nyama na mchuzi yake, dengu,…hata ikiwa peke yake. Je wewe ni mpishi bora kabisa wa chapo…
Hajar
July 4, 2018, 8:14am
14
Huku chapati inaliwa na kila kitu …maziwa, nyama na mchuzi yake, dengu,…hata ikiwa peke yake. Je wewe ni mpishi bora kabisa wa chapo…
Hahahaaaa. Napika haswaaa jirani si wajua tena watu wa Pwani na kupika ndio nyumbani.
Hongera bana kwa kuipenda chapati jirani ila siku moja jaribishia kula na aina ya maharage yaliyoungwa kama hayo hapo juu. Hutajutia kula aisee.
system
July 4, 2018, 8:32am
15

asanti sana. ndo maana sisi vijana wa bara tukitembea pwani tunakatalia huko. munajua jinsi ya kutunza…yaani you r keepers.
system
July 5, 2018, 4:38am
17
Hajar:
Hahahaaa. Lol.
:D:D:D:p kipi kilichokufurahisha hivyo dear
Hajar
July 5, 2018, 4:40am
18
Nimefurahi tu jinsi unavyoijua sifa ya wanawake wa Pwani jirani. Hahaaaaa.
Mara Dear…Mara Jirani… Mbona Mnanichanganya…au ndiyo True North haijapatikana…???
Hajar
July 5, 2018, 4:59am
20
Mmh. Wewe ndio unataka kujichanganya sasa ila sisi tunaelewana sana tu.
Hayo ni maneno kama maneno mengine Mkuu.
@A.G . jirani njoo kuna mtu kachanyikiwa huku. Teh teh teh.
Pole eeeee.